Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
MPYA MPYA MPYA KABISA ZINAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.1. 3
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJI SH.500 NA UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE GETI
SOMA MAELEZO KWA UMAKINI
( A ) VYUMBA VITABU VYAKULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA DINING ROOM KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI YA NDANI
KODI KWA MWEZI NI TZ'S 550K X6
( B ) VYUMBA VIWILLI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI YA KISASA
KODI KWA MWEZI NI TZ'S 450K X6
TYRIES JIPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PERVING BLOCKS 🚫
KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
NYUMBA ZOTE ZINA A/C
CCTV CAMERA 📷
ELECTRIC FENSI PIA INAWEKWA
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI TZ'S 15K
CONT 👇
0713661530_0783661530