Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


KODI 150000X3 /4/5/6
APATIMENTI ZIPO MBEZI KWAMSUGULI
UKISHUKA HAPO KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA DAKIKA 10
BODA BODA 1000
BARABARA INAFIKIKA MUDA HOHOTE
ZIPO NYUMBA TATU KWENYE FENSI MOJA
KILA NYUMBA INAJITEGEMEA UMEME WAKE
MAJI WANASHEA 3
SIFA YA NYUMBA CHUMBA SEBULE CHOO NDANI
NYUMBA MOJA IPO WAZI
KUPELEKWA KUONA 15
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637