Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


CHUMBA KIMOJA MASTAR KINA PANGISHWA
KIPO MBEZI BEACH TANKI BOVU KARIBU NA BARA BARA
DAKIKA 5 TU KUTEMBEA KUTOKA LAMI HADI KWA NYUMBA
LUKU YAKO MWENYEWE YA UMEME
CHUMBA KIPO NDANI YA FENSI NA GET
BEI LAKI 150,000/= KWA MWEZI
MUDA WA MALIPO NI MIEZI 6
SERVICE CHARGE YA KUONYESHWA NYUMBA NI 25K
KWA MAELEKEZO ZAIDI PGA SIM
📲 0682 402 327 📶
📲 0653 267 999 📶 ya WhatsApp