Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(150,000 × 4,5,6) MBEZI KWA MSUGURI
CHUMBA SEBULE MASTER NA JIKO LAKE LA NJE INAPANGISHWA
NYUMBA MPYA
IPO NDANI YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA SANA
ZIPO TANO NDANI YA FENSI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
MAJI YANAFLOW NDANI
NA KILA MOJA UMEME MITA YAKE
KODI 150000 × 4
LOCATION:
KWA MSUGURI
IPO KILOMETER 1.5 TU KUTOKA STAND
BAJAJI 700
BODABODA 1000
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300