Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Mbezi Kwa Msuguri
🕑1.5km Kutoka Morogoro main Road, Bajaji & Boda zipo mpaka hapo
#SIFAZAKE
🔹Vyumba viwili, Vyote Master
🔹Sebule
🔹Dining
🔹Jiko zuri
🔹Choo cha familia
🔹Umeme & Maji Inajitegemea
🔹Fenced Car Parking Kubwa
👉 Hii Inakuwa wazi Tar 17/05/2024 Kuiona Na Kufanya Malipo Ruksa.
🔷Kodi Tsh 400, 000/=×6(Miezi Sita)
🔷Malipo ya Dalali Tsh 400, 000/=
🔷Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊