Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
SINGO MOJA MASTA IPO MBEZI MWISHO NJIA YA KUELEKEA KINYEREZI
_______
KITUO DALAJANI UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 7
_______
UMEME ANAJITEGEMEA MAJI YA KUSHEA
NYUMBA MPYA WAPANGAJI WATATU
______
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI MALIPA YA MWEZI MUMOJA
KODI YA PANGO 50000X4 /5/6
SIMU
0712656027