Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(250,000 × 3) MBEZI KWA MSUGURI
APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:: KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 2
SIFA ZAKE::
IPO NDANI YAi FENSI
UWANJANI PAVING BLOCK
NYUMBA MPYA
INA VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA
VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
INAJITEGEMEA UMEME MITA YAKE
MAJI YAKUSHEA BILI
KODI 250000 × 3
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
Contact:
0653101710
0787205300