Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTAR SEBULE JIKO OPEN KITCHEN INAPANGISHWA
IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI UMBALI KM/ 1/ 5 USAFIRI BAJJI BUKU UKISHUKA BAJAJI DK 5 AU BODA BUKU MPAKA NYUMBANI
IPO NDANI YAFENSI JUMLA KUNAWAPANGAJI 3 HII CHUMBA NA SEBULE IPO KWACHINI NYUMBA NI ANDGRAUND
INAJITEGEMEA UMEME NAMAJI
KODI KWA MWEZI 150,000 X 6
KUONA NYUMBA ELFU 15000/
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA KAMA UKILIPIA NYUMBA
Cant
0683234124
0718367179