Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM
MAHALI _  MBEZI BEACH 
______________________
 
#CHUMBA_SEBULE_JIKO_CHOO#
KODI LAKI  700,000/-=KWA MWEZI
————————
MALIPO YA MIEZI 6
________________
NEW APART  APARTMENT 
_____________
YA KIBACHELA 
_______
YENYE:-
Chumba kimoja tu cha kulala # Na  Sebule 
#na # Jiko Lenye Makabati Stoo
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks 
FencedApart 
Garden 
————
Nione




















