Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


HAPA KUNA YA (200,000) na (250,000 × 3) MBEZI MWISHO MAGUFULI STAND
APARTMENT NZURI SANA ZA KIFAMILIA
ZINAPANGISHWA MBEZI MAGUFULI STENDI
UMBALI KUTOKA MAGUFULI NI km 1 TUU
BODABODA 1000
UKIAMUA KUTEMBEA NI DAKIKA 20 UPO NDANI
========
HAPA ZIPO NYUMBA MBILI TOFAUTI
(A)
VYUMBA VIWILI
CHUMBA KIMOJA WAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI
NA PUBLIC TOILET
MADIRISHA YA VIOO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
KODI 250,000/= ×3
========
(B)
VYUMBA VIWILI
CHUMBA KIMOJA WAPO NI MASTER
SEBULE KUBWA SANA
JIKO ZURI
NA PUBLIC TOILET
ILA MADIRISHA YA WAVU
=========
KODI 200,000/= × 3
=======
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300