Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA NZURI SANA MAHALI ILIPO DARESALAAMTZ ENEO MBEZI LUGURUNI UMBALI WA KM 1.5 BODABODA SHILINGI ELFU MOJA 1000
APARTMENT HII TAYARI IPO WAZI KUANZIA MDA HUU
YENYE
VYUMBA V2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO KUBWA INA PUBLIC TOILET NDANI
TILES GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA PAVING BLOCKS GET ELECTRIC FENCE WAYA
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI TATU 300K
KODI ILIPWE MIEZI SITA 6
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO
NA SERVICE CHARGE NI TSHS ELFU 15
0679447338
0753454167