Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







CHUMBA SEBULE MASTER KUUUUUUBWAAAAAA NA JIKO INAPANGISHWA
LOCATION:
MBEZI MWISHO/ MAGUFULI STEND
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 10 KWA MIGUU
UMEME SUBMITA YAKE
CHOONI MAJI YANATOKA
KODI 190,000 X 3,4
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347