Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT -300,000X6_2BEDROOM SEBLE
JIKO _UBLIC TOILET YA NDANI_NO_MASTER_IPO MBEZI TO MSUGURI Km1.5 kutoka men ROOD BAJAJI 700 BODA1000 BARABARA LAMI UKISHUKA Dk3 upo home🏕️
_______________________________________________________
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#SEBULE YA WASTANI
‼️HAKUNA MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
____________________
BEI NI 300K X 6
______________________
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
___________________________________________________
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI bajai /Boda1000
__________________________________________
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
_______________________________________________________
🌀ALL+255 679 897 628/WASP DLL Sd660 T.dsmtz🇹🇿