Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
KODI 300000X6
===========
APATIMENT ZIPO MBEZI MALAMBA KITUO MAKUTI
==========
UKISHUKA KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA DAKIKA 6
HADI KWENYE NYUMBA
==========
ZIPO NYUMBA MBILI KWENYE FENSI
MOJA NDIO IPO WAZI
SIFA YA NYUMBA
VYUMBA VYA KULALA VIWILI VYOTE NI MASTER
JIKO LIPO PEMBENI NJE YA NYUMBA
MAJI DAWASA
UMEME UNAJITEGEMEA
=======
KUPELEKWA KUONA 15000
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI
==========
CONT
0683234124
0718367179