Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Nyumba hii ni
Chumba sebule choo jiko tuu 👈
Kod sh laki 2 malipo miezi 6 👈
Luku yako pekeyako
Maji mita yako pekeyako
Ilipo njia ya mbezi beach kituo ni afrcana 👈
Nyumba ya kwaza kwenye lami ya mtaa 👈
Fesi ipo kubwa sana
Paki ya Gar ipo kubwa sana
Nyumba ya Kwaza kwenye lami ya mtaa 👈
#0716623170