Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


OFA OFA OFA 
IMESHUKA BEI KUTOKA  350K 
KWA SASA NI 300K X6
STENDI  ALON  KUBWA YA KIFAMILIA 
INAJITEGEMEA FENSI 
=====
IPO MBEZI MAGUFULI STENDI YA MKOA 
UMBALI KUTOKA  STENDI NI KM 1,5
PKPK  1000/
======
SIFA ZA NYUMBA
VYUMBA VITATU KIMOJAWAPO NI MASTA
SEBULE KUBWA SANA 
DAINING  JIKO NA CHOO CHA. PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
======
KODI 300,000/=X6
KUONA NYUMBA NI 15000/
DALALI 300,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
======
#0785889413



















