Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO JIRANI NA STAND YA MBEZI TO MALAMBA BEI NI 170,000/=
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
‼️JIKO ZURI LIPO NJE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 170,000/=X 6
ILIPWE LAKI 1NA ELFU 70 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO JIRANI NA STAND YA DALADALA ZA KUELEKEA MALAMBA NA IPO KWENYE FENSI NA JIRANI NA BARABARA
🎤NJIA YA GARI NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
#0785889413
#0785889413