Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
๐ฅNyumba Nzuri Inapangishwa, MBEZI MWISHO via KINYELEZI ROAD
๐250,000/= *6
______
__
โข Chumba Cha Kulala kikubwa
โข Sebule Kubwa
โข Jiko Zuri
โข Choo chako Ndani (Public toilet)
๐ Baraza 2, ya mbele na ya nyuma (jikoni)
* UMEME na MAJI inajitegemea
* Maji Yanatoka ndani
* Zipo 2 tu kwenye Fensi Moja na Imebakia hii moja tu
* Mazingira Mazuri sana
#kutokea kituo cha daladala cha Mbezi mwisho ni dk 10 kwa miguu
#kutokea Kinyelezi Road ni dk 3 kwa miguu
_____
#Malipo ya dalali Nasoni ni 250,000/=
#Service Charge 15,000/=
โ: 0753-172-516