Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
Apartments zipo 3,ni dakika 3 kutoka Derbab SCHOOL(Malamba mawili mbezi)
•ChumbaMaster1,Sebule,Jiko,Choo
- Kila mpangaji ana Luku yake
- Maji dawasa masaa 24
- Kuna Tank la Maji
- Kuna ukuta na geti, Usalama wa uhakika
- Dakika 2 kufika shuleni
- Full paving nje
- Feni kila nyumba
- Choo cha Public
- Kuna huduma zote za kijamii jirani
Kodi ni 200k tuu, anaweza kulipa kuanzia miezi 3.
####0655256419
####0760830706