Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


FULL FURNISHED MASTER BEDROOM FOR RENT- CHUMBA CHOO NA VITU VYAKE INAPANGISHWA MBEZI KWA YUSUPH
====
Chumba kikubwa na Choo ndani
_ kuna kitanda na godoro
_TV kubwa inch 45
_King'amuzi cha Azam
_Jiko la Gas
_Pazia
===
Kodi 150,000 Kwa mwezi ร 3
===
Umbali dakika 7 Kwa miguu toka Kwa Yusuf stand
====
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 ๐
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1 ๐
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258