Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
Apartiment house for rent Kali Sana nzuri
Location Mbezi mwisho dakika 15.kutembea mpaka home
Kodi 190000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba na sebule
Choo ndani
Jiko
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128