Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APATIMENTI  MPYA MPYA 
KALI SANA ZINAPANGISHWA
KODI. 200K
MALIPO MIEZI 6
=====
ZIPO MBEZI KWA YUSUFU 
BRBR YA MAGOE
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI 
KM 1,5 
DALALI 700/=
BAJAJI  1000/=
=========
UKISHUKA TUU!
KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE GETI
====
SIFA  ZA NYUMBA
CHUMBA MASTA KUBWA SANA SEBULE KUBWA 
NA JIKO NDANI
ZIPO NNE 4/ 
NA KILA APATIMENTI INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
===
KODI 200,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI 200,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
______''
0652 508128 
0753 989554 
====




















