Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


[APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA
LOCATION:
MBEZI MWISHO/ KWA YUSUFU
UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 7 TU KWA MIGUU
SIFA ZAKE:
VYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER
SEBULE
JIKO ZURI LENYEMAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
PACKING SPACE KUBWA
UWANJANI PAVING BLOCK
GARDEN NZURI
MAZINGIRA MAZURI SANA
NYUMBA MPYA
ELECTRICITY FENCE
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
KODI 550000X 3
KUONA ELFU 15
MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA NAFAULISHA
NAFAULISHA
ITAKUWA WAZI TAREHE 30/3/2024
KUONA NA KULIPIA RUKSA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja