Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT FULL FURNISHED MBEZI BEACH
-------
Vyumba 3 vya kulala vyote master bedroom
Seble kubwa sana
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Full air condition
Garden safi
Tiles
Gypsum
Slide window
Mazingila mazuri sana
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
--------
Service charge 20,000/=
Kodi $ 1500 kwa mwezi ilipwe miezi 6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni usd 1500
---------
Contact
๐#0676_218580(WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach ๐น๐ฟ