Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 200,000

APARTMENT NZURI ZA KISASA ZINAPANGISHWA NA ZIPO SEHEMU NZURI

💥ZIPO APARTMENT ZA AINA MBILI TOFAUTI

SEHEMU 'A'

#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

BEI NI 200,000/= X 6

SEHEMU 'B'

#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
‼️ HAKUNA JIKO
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA

BEI NI 100,000/= X 6

🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA

PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA TEMBONI NA UKAFIKA HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

Simu
0679997610
0658884015
Msigwa
_____

dalali_msigwa_Ubungo_Mbezi
dalali_msigwa_ubungo_mbezi
dalali_msigwa_Ubungo_Mbezi

Similar items by location

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 120,000

APARTMENT MPYA INAPANGISHWA MBEZI LUGURUNI, UPANDE WA WILAYANI #‼️Chumba cha kulala, sebule Choo nda...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA KUBWA YA KISASA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI MWISHO NYU...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

Apartment Classic For Rent ✨️Ya Chini Ndiyo Ipo Wazi Location: MBEZI KWA MSUGURI Distance: KM 1 Kuto...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 1,300,000

Apartment Kali Sana InapangishwaMahali: Mbezi Beach Ya ChiniBei: 1,300,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6M...

Nyumba (Furnished) ya vyumba vinne inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 731,695

House villa for rent at mbezi beach 4bedrooms Fully Furnished Price 1500usd Per Month 0789-731695 ...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

(250,000X6)MBEZI KIBANDA CHA MKAA➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 2...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 1,300,000

Apartment kali sanaa @Inapangishwa @Bei 1,300,000 kwa mwez @Mtaa umetulia sanaa @Mhali mbezi beach y...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

NYUMBA YA KUPANGA MBEZI NJIA YA MARAMBA ======================*VYUMBA 3 VYA KULALA, KIMOJA MASTER B...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA KUBWA YA KISASA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI MWISHO NYU...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 800,000

#Repost Dalalimbezibeach_semba #CHUMBA SEBULE JIKO CHOOIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI - MBEZI BEACH MASSANA...

Nyumba ya vyumba viwili inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

#Repost Dalalimbezibeach_semba • • • • • •LOCATION(MBEZI MAGUFULI BUS TERMINAL)Apartments Mpyaaaa Ka...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 27,500,000

KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA BEI YA KUTUPA KABISA MABOSIII ZANGUULOCATION:MBEZI MWISHO NJIA YA MPIJI...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 50,000

HII NYUMBA MPYA NZURI SANAA INAUZWA IPO MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI SQMTS 900 VYUMBA VINNE VYOTE SEL...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 500,000

#Repost Dalalimbezibeach_semba #CHUMBA SEBULE JIKO CHOOIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI - MBEZI BEACH KWA ZEN...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000,000

HOUSE FOR SALE* LOCATION: Mbezi beach Nyumba ina vyumba 4Vyote master, Kutoka lami mita 400. SQM 900...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 550,000,000

HOUSE FOR SALE* LOCATION: Mbezi beach Nyumba ina vyumba 4Vyote master, Kutoka lami mita 400. SQM 900...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT Classic For Rent ✨️Zipo 3 Kwenye Fence Location: MBEZI KIBANDA CHA MKAA Ipo Upande Wa Kuli...

Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

KODI 500000X6 ______NYUMBA INAPANGISHWA IPO MBEZI NJIA YA MALAMBA MWISHO KITUO ________INAJITEGEMEA ...

Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 370,000

#Repost Dalalimbezibeach_semba APARTMENT INAPANGISHWAIKO-DAR-ES-SALAAMMAHALI _ MBEZI MASANA NJIA YA...

Kiwanja kinauzwa Mbezi, Dar Es Salaam

Sh. 60,000

Kiwanja kinauzwa kipo mbezi beach upande wa bahari sqmts 1000 mita chache kutoka lami price mil.500 ...