Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#MBEZI_KWA_MSUGURI
#STEND_ALONE NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA WAPO NI MASTER KUBWA SEBULE KUBWA DAINGGI NA JIKO ZURI LA KISASA LENYEMABATI
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA NDANI YA FENCE NYUMBA IPO MBEZI KWA MSUGURI UMBALI KIM1 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI UPO WAKUTOSHA
PIKIPIKI🏍️1000
BEI SH 500,000/= KODI MIEZI SITA
KUONA NYUMBA SH 15,000/=
PIGA SIMU
0716 776247
0754 221168