Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


CHUMBA MASTER na SEBULE INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
LOCATION:
KWA MSUGURI
UMBALI KUTOKA STEND KILOMETA 1.5
BAJAJI 700
BODABODA 1000
SIFA ZAKE:
CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA
SEBULE KUBWA
UMEME SUBMITA YAKE
MAJI YANAFLOW CHOONI
MAJI YA BILI
NYUMBA MPYA
KODI 140,000 × 4,5,6
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300