Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


HAYA SASA IMESHUKA BEI KIMBIZANA NAYO. 250,000 ×4
APARTMENT INAPANGISHWA MBEZI KWAMSUGURI #300K
===
Vyumba 2 vyakulala kimojawapo master bedroom sebule, JIKO STORE na public toilet
==
Kodi 250,000 Kwa mwezi × 4
===
Umbali KM 2
===
Nyumba haina fensi Ulinzi kama lugalo parking kubwa yakutosha, kila apartment inajitegemea umeme (submit) na maji yanaflow chooni na jikon
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 20 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0773700963
0753989554
=====