Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(330,000 Γ 6) MBEZI MWISHO NJIA YA GOBA MWANZONI KABISA
Hapa Kuna Apartment MOJA
yenye:-CHUMBA + SEBLE+JIKO +CHOOπ
#Makabati ya jikon
#Makabati ya nguo
#A\/C
#Finishing ya kisasa
#LUKU yake
#DAWASCO-Mita yake
#Mlinzi-free
#USAFI wa nje -free
#Garden -free
#Kutoa taka-free
#Paving blocks-nje
#parking ya kutosha
KODI-330,000\/=MWEZI . Tunapokea kuanzia miezi
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300