Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#APARTMENT ZIPO 3 KWENYE FENSI NA MOJA TUU NDIYO INAPANGISHWA
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA MASTER KIKUBWA
#JIKO KUBWA 
#MAZINGIRA MAZURI 
#FENSI KUBWA PARKING KUBWA SANA
#LUKU INAJITEGEMEA NA MAJI
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI 
LOCATION #UBUNGO_MAKOKA_KWA_MKUA
#USAFIRI BAJAJ AU DALADALA ZA MBEZI MNAZI MMOJA
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
SERVICE CHARGE NI 15,000/=
CONTACT;  0764575774




















