Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Mbezi Mwisho kwa Yusuf
🕑Dakika 15 Kutembea Toka Morogoro main Road, Dala dala Zipo mpaka Hapo
#SIFAZAKE
🔹Vyumba vitatu, Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Dining
🔹Jiko
🔹Public Toilet
🔹Umeme Luku Yake, Maji yanaflow ndani
🔹Fenced Car Parking
👉Zipo 2 Hapa, Ni hii moja Inakuwa Wazi Tar 15/06/2024 Kuiona na Kulipia Ruksa.
🔶Kodi Tsh 400, 000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Tsh 400, 000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊