Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(200,000X6)MBEZI KWA MSUGULI
——
APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI KM2 KUTOKA LAMI
-------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko kubwa
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 200,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2
----------
Contact
0716223412
0618976024
FOCUS_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏