Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA NZURI SANA
NINAIFAULISHA ITAKUWA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU KUONA NA KULIPIA RUKSA
YENYE
VYUMBA V2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA JIKO ZURI LA KISASA LENYE MAKABATI INA VYOO VYA FAMILY NDANI TAILS GYPSUM BOARD ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA PAVING BLOCKS GET ELECTRIC FENCE WAYA KATIKA COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT TATU MOJA NDIO ITAKUWA WAZI
KODI KWA MWEZI MMOJA NI TSHS LAKI TATU NA NUSU 350K
KODI ILIPWE MIEZI MITATU 3 4
NA MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI PINDI ULIPIAPO PANGO
LOCATION MBEZI LUGULUNI LA PAZI UMBALI WA KM 1
BODABODA SHILINGI ELFU MOJA
KUTEMBEA KWA MGUU DK 15
0655256419