Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA BEI NI 420,000/=X 6
💥 APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING
‼️ MAFUNDI WAPO KAZINI KWA KASI YA 5G NA ITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/04/2024 LIPIA MAPEMA UHAMIE MAPEMA
BEI NI 420,000/= X 6
ILIPWE LAKI 4 NA ELFU 20 KWA MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HIZI #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
#USAFIRI NI BAJAJI SH 700 AU BODABODA SH ELFU 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
ANGALIZO:- APARTMENT HIZI ZITAKUA TAYARI KUHAMIA KUANZIA TAREHE 01/04/2024 WAHI NDUGU MTEJA NYUMBA ZIMEBAKIA CHACHE
#SERVICER_CHARGER_15000
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316WhatsAp
#0769680796whtsp