Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
(150,000X6)MBEZI KWA MSUGURI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGULI KM1.5 KUTOKA LAMI
-------
Chumba master
Seble kubwa.
Luku yako
Tiles
Gypsum
Slide window
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000\/=
Kodi 150,000\/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 1.5
---------
Contact
0716223412
0683597453
FOCUS_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏