Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Fcaf7deb0-11a2-498e-a7b6-84fee6b28eb1.jpg&w=3840&q=75)
![media -1 media -1](/_next/image?url=https%3A%2F%2Fmakazimapya.s3.amazonaws.com%2Fpublic%2Fads%2Fimages%2Fcaf7deb0-11a2-498e-a7b6-84fee6b28eb1.jpg&w=256&q=75)
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 370,000/= X 3
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/03/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE KUBWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#GARDEN
BEI NI 370,000/= X 3
ILIPWE LAKI 3 NA ELFU 70 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
ποΈ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA YA ZEGE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700
0710614924
0688653940