Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT MZULI MPYA MPYA ZA KISASA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
INAVYUMBA 2 VYA KULALA VYOTE MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
DINNINGI ROOM
JIKO SAFI LA KISASA LINAWEKWA MAKABATI
PUBLIC TOILET NDANI
UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI N
I 650,000 ILIPWE LAKI SITA NA NUSU KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROUD KM 1
BARABARA SAFI NI LAMI
MPAPAKA GETINI
USAFILI UPO WA BAJAJI 700
BODA 1000
UKISHUKA KWENYE BAJAJI
UNANGIA NDANI AUKANYANGI TOPE
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA UTAMLIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
====≠====
CALL 0683234124
0718367179