Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


350,000
Mbezi kwa msuguli
STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILY
INAFANYIWA MAREKE BISHO YOTE BILA SHAKA
MTAA TULIVU
INAPANGISHW MBEZI KWA MSUGULI #350k
Vyumba 4 vya kulala kimoja master
sebule jiko
na public toilet ya ndani
Sto kubwa ya jikoni
Mtaa wa kishuwa kabisa
Kodi 350,000 Kwa mwezi × 6
Ina pigwa langi nyumba nzima
Umbali dakika 7
Kwamiguu kutoka Morogoro road Ipondani ya fence kubwa
Unaweza kufuga ina eneo kubwa sana la kufugia
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0679 956 863
0759151524