Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
•CHUMBA SEBULE JIKO CHOO
INAPANGISHWA APARTMENT
IKO DAR ESALAAM TZ
MAHALI MBEZI BEACH MAKONDE
——————————
KODI TSHS LAKI 250,000/=KWA MWEZI
———
MALIPO YA MIEZI 6
Ni Chumba sebule Jiko Choo
Inajitegemea luku na maji
Ipo ndani ya fensi
Mazingira safii
FencedApart
Garden