Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA FAMILIA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE O1/04/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
# KWENYE FENSI MOJA ZIPO APARTMENT 3 TUU NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
BEI NI 350,000/= X 6
ILIPWE LAKI 3 NA ELFU 50 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6
🏘️ APARTMENT HII IPO #MBEZI_KWA_MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA YA ZEGE NA
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2
#USAFIRI NI BAJAJI SH 700
#SERVICE_CHARGER_15000
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0769680796☎
#0712348316WhatsAp