Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


120,000 Γ 6 Master na jiko MBEZI KWA MSUGURI
Safi kabisaaa
======
Chumba Cha kulala Kikubwa
Choo ndani kina maji na shower πΏ
Na jiko kuuuubwaa
Β°====
Bei:120,000 kwa mwezi x 6
====
Umeme submeter,Maji yanaflow chooni. Bill
====
Umbali KM 1.5 toka kituoni Usafiri boda buku tuuuu
====
Ndani ya fence parking ipo
====
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15,000
#Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
==
Contact:
0654101710
0787205300