Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Inapangishwa
Sifa zake vyumba 2
Kimoja masta
Sebule
Joko
Public toilet
Ndani yafens zipo 3
Kilamoja inajitegemea umeme namaji inajitegemea
Location mbezi sitendi yabasi magufuri
Kod 300k miezi 6
Km 1 kutoka magufuri
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali
# Simu 0757 404087