Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 220,000/= X 3 
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#CHUMBA KIKUBWA 
#SEBULE KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA 
#PARKING
#PAVING
#GARDEN
BEI NI 220,000/= X 3 
🏘️ APARTMENT HII IPO MBEZI KWA MSUGURI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700  NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA cm 0764575774




















