Nyumba inapangishwa Mbezi Juu, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINAPANGISHWA;
#CHUMBA_MASTA_SEBULE_NA_JIKO
💧Location ::MBEZI JUU KWA OLOMI,,,
BODA 1000
💧Bei :: 250,000 kwa Mwezi
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba kimoja ambacho ni Masta
📍Sebule Kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko Kubwa
📍Fence
📍Feni
📍Umeme wako
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0714539608