Nyumba inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


Nyumba ya kujitegemea inapangishwa laki 7 Kwa mwezi ipo mbweni JKT ina vyumba vitatu vya kulala chumba kimoja ni master ina public toilet ina dining ina sebule na jiko zuli la kisasa LENYE MAKABATI...NK ....... ipo fulu A/C na feni VYUMBANI na sebuleni nyumba niya tatu kutoka lami kuu
#Cal
#0717671240 au what's up ๐