Nyumba inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


FAMILY APART  INAPANGISHWA
IKO ~ DAR ES SALAAM-Tz
MAHALI - MBWENI 
KODI ~  TSH 600,000\/=\nKWA MWEZI
NYUMBA YA FAMILY
YENYE SIFA ZIFUATAZO
Vyumba viwili vikubwa  vya kulala
Sebule kubwa Jiko zuri ( open kitchen
 Air condition , pamoja na feni
Makabati vyumbani 
Parking space ya kutosha
Luku inajitegemea
Bili ya maji imejumuishwa kwenye kodi ya nyumba
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA YA DALALI 
GHARAMA YA KUONA NYUMBA 30K(SERVICE CHARGER)
MAWASILIANO#0656610033




















