Nyumba inapangishwa Mkalama, Morogoro


APARTMENT NZURI SANA🌴
📍MAHALI- MAKULU MKALAMA
___________________________
MUUNDO
—MASTER +SEBULE+JIKO
—Public toilet za nje
—Pazuri sana
HUDUMA
—Ipo ndani ya fence
—umeme na maji vipo
—pazur sana kma unavoona
💰BEI— 200,000@month
Muda wa malipo miez 06+
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja atalipa mteja
Gharama za kwenda site 10k
Tuwasiliane 0657122976/tsp
————————————-------