Nyumba inapangishwa Mlimani, Morogoro
💥For Rent at SURVEY near MLIMANI CITY #170,000/= ×4
_________
__
• Chumba Master Kizur
• kipo Juu, Floor ya 3
* Mazingira Mazuri
* Kipo ndani ya fensi
#Kipo SURVEY, umbali dk 3 kutoka kituoni
♦️Note: Kodi inaambatana na hela ya usafi, ulinzi na maji,, ambayo ni 30,000/= ×4 (yani hapa miezi 4 yote hutadaiwa usafi, ulizi wala maji)
_____
* Malipo ya dalali Nasson ni 170,000/=
* Service Charge 20,000/=
#0753-172-516