Nyumba inapangishwa Moshono, Arusha


200,000/=tu jmn ๐๐๐
Inapangishwa moshono kwa baba d
Ni nyumba yenye wapangaji wawili
Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina sebule na jiko
Ina public toilet
Inajitegemea umeme
Ina parking
Bei 200,000/=kwa mwez
Call 0758105801/0693412119