Nyumba inapangishwa Msasani, Dar Es Salaam


IYO NI APATIMENT YA MASTA SEBULE JIKO
FULU FANICHA IPO FROO YA 2 MSASANI
BEI KWA MWEZI. NI ML (1) NA MALIPO
YAKE NI KUANZIA. MIEZI. 6 MAJI UMEME
UNAJITEGEMEA. KWENDA KUKAGUA
NYUMBA TUNACHAJI SH 20000 IKIFUATIWA
MALIPO YA KODI YA MWEZI BAADA YA
KULIPIA NYUMBA PIGA. SIM
0715422099/0784422099/0746218111